Freestyle Music Dec 13, 2022 Kama flow ni movie amini me ni star Nashow maujuzi makuzi nawakataa Wako slow kazi silazi ata nusu saa Hili pozi tozi anahofia kuyakanyaga kama kinyaa